Tuesday 31 March 2009

What is Security Interest?

>Rationale
>Forms
>Advantages >Disadvantages
>Laws applicable

Monday 30 March 2009

Ajari ya Treni Dodoma


Zoezi la kuopoa maiti ladorora sababu ya vifaa duni vinavyotumika.

Msanii feruzi akiwa na Matonya


Ziarani kuelekea Mbeya

Mto Ruaha-Iringa

Track laanguka barabarani kuelekea Mbeya


Jamani madereva wa magari jaribuni kuwa makini.

"Maneno Nawafunza"-Temba


Chenge Matatani


Habari zilizotufikia zinasema kwamba mheshimiwa Chenge aswekwa lupango baada ya kusababisha ajari ya wadada wawili waliokuwa ndani ya bajaji.Inasemekana mheshimiwa huyu alikuwa anaendesha gari huku amelewa.Ama kweli chenge matatizo yamemuandama.....

Saturday 28 March 2009

Golf Accident

Thursday 26 March 2009

Pinda akiwa kazini

Je,Una Mada Yoyote? Kong'oli Hapa!!

Je,una matatizo na unahitaji ushauri wa kisheria bila malipo?

Usisite kutuandikia maswali yako na tutakujibu haraka iwezekanavyo.
Unaweza kutumia anwani zifuatazo;
ashelfrank@yahoo.com
au
kongomboli@gmail.com

Coming Soon on This Blog!

Mambo mazuri sana yako njiani,wale wapenzi wa mambo hayo kaeni mkao wa kujilamba.Usisahau kutembelea blogu hii mara kwa mara utakosa uhondo buree.

To Come Veri suuuuuuuuuuuuuuuun

Who Owns Your Ideas? Ni nani Anayemiliki Mawazo Yako?

Swali la Msingi kama hili na mengine mengi yatakua yana jibiwa katika blogu hii.Je,wewe un swali pia.Bonyeza Comments na uulize swali hapa au kutoa maoni yako.

Death Penalty,Adhabu ya Kifo,Wewe una Maoni Gani?

Kwanini Tanzania inasitasita kufuta adhabu ya kifo?Kifungu namba 14 cha Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kinasema kwamba “kila mtu ana haki ya kuishi”. Hii ni haki ya msingi ambayo kila mwanadamu anayo “kwa sababu tu kwamba yeye ni binadamu”.Haki hii haihitaji mtu kwenda mahakamani au katika vyombo mbalimbali vya haki na sheria ili kuipata, bali hupatikana kutokana na ‘kule kuzaliwa tu ukiwa binadamu’ kunakufanya uwe na haki hii ya msingi.Ndo sababu hata sheria ya Tanzania inakataza kuua kimakusudi,kutoa mimba pamoja na mambo mengine yanayofanana na hayo ya mauaji.
Kwa sasa duniani pote,nchi nyingi zinapigania kufuta adhabu ya kifo katika nchi zao ili kuendana na makubaliano ya kimataifa ya kupinga adhabu ya kifo.Pia ili kutokwenda kinyume na katiba zao kwamba kila mtu ana haki ya kuishi.Hapa kwetu Tanzania adhabu hii bado inaendelea kufanyika licha ya Katiba yetu kujieleza waziwazi kwamba “kila mtu ana haki ya kuishi.Swali: Je,Serikali haioni vifungu hivyo katika katiba yetu hata ifumbe macho kiasi hiki? Mataifa mengine je kama Uganda,Rwanda.Burundi,Kenya n.k yanachukuliaje swala hili la adhabu ya kifo? Je, wewe una maoni gani kuhusu hili?

Nathamini sana mchango wako.Tafadhari sana usisite kutoa maoni yako hapo chini.
Ni mimi mwandishi wa Makala hii
Joram Frank
Tumaini University at Iringa
P.o.Box 200
Iringa,Tanzania.

Karibuni Wadau!

Nakushukuru sana mdau kwa kutembelea katika blogu yangu ambayo ni mpya kwa sasa.Tarajia kupata mambo ya ukweli kutoka katika blogu hii ya kijanja kabisa. Mambo kama news,music, stories,vichekesho,elimu,latest,videos na mambo mengine mengi ya kiuchumi,kisiasa na kitamaduni utapata hapa.Pia nakukaribisha sana katika mada mbalimbali ili uweze kuchangia mawazo yako ambayo kimsingi jamii ya watanzania wanahitaji kwa kila hali.
Asanteni na
KARIBUNI sANA!!

Welcome to ogopAz Blog!